Rudi kwenye ukurasa wa training
Sera ya Faragha
Zillim Digital · Tumia AI Kuuza Online · Imesasishwa: 18 Novemba 2026
Tunakusanya nini
Unapojiandikisha kwa training ya bure tunakusanya jina lako, namba yako ya WhatsApp, unachouza na changamoto uliyochagua. Pia tunarekodi chanzo cha tangazo lililokuleta (kwa mfano kampeni ya Facebook au Instagram).
Tunazitumia kwa ajili gani
- Kukuunganisha na WhatsApp group na kukutumia link ya training.
- Kukutumia ujumbe kuhusu training hii na Masterclass ya Tumia AI Kuuza Online.
- Kuelewa wanaotembelea ukurasa huu ili kuboresha training na matangazo yetu.
Meta Pixel na cookies
Ukurasa huu unatumia Meta Pixel. Ni code ndogo ya Meta Platforms, Inc. inayotusaidia kupima matokeo ya matangazo yetu ya Facebook na Instagram. Inaweza kutumia cookies kwenye browser yako. Unaweza kudhibiti matangazo unayoyaona kupitia settings za akaunti yako ya Facebook au Instagram.
Hatuuzi taarifa zako
Hatuuzi wala kukodisha taarifa zako kwa mtu yeyote. Zinahifadhiwa kwenye mifumo yetu ya ndani na zinatumiwa na timu ya Zillim Digital pekee.
Haki zako
Unaweza kuomba kuona taarifa zako, kuzirekebisha, au tuzifute, na unaweza kuacha kupokea ujumbe wetu wakati wowote. Wasiliana nasi: WhatsApp +255 760 962 379 (https://wa.me/255760962379).
English summary
When you register for the free training we collect your name, WhatsApp number, what you sell, your main challenge and the ad source that brought you. We use this to add you to the WhatsApp group, send you training and masterclass updates, and improve our ads. This page uses the Meta Pixel, which may set cookies. We do not sell your data. To access, correct or delete your data, or to stop messages, contact us at the address above.