Jenga Mfumo wa Kupata Wateja na Kuongeza Mauzo Kupitia Instagram, TikTok na WhatsApp Kwa Kutumia AI.
Tazama training ya bure inayoonyesha jinsi ya kutumia ChatGPT au Claude kupanga marketing, kutengeneza content, kufuatilia inquiries na kuwabadilisha kuwa wanunuzi.
Positioning · Content · Conversion · RetentionJiunge na Group, Tazama BureUkijiunga na WhatsApp group unapata link ya training papo hapo. Mwishoni nitakuonyesha Masterclass kamili ya TSh 250,000. Kuinunua si lazima.
Pata link ya training
Jaza taarifa hizi, kisha utaingia moja kwa moja kwenye WhatsApp group ambapo utapata link ya training papo hapo.
Unapost, una-boost, unajibu DM. Lakini kuna kinachoendelea baada ya hapo?
Unaweza kuwa unapost Instagram kila siku, unaweka bidhaa zako status, hata unatumia pesa ku-boost posts.
Mtu anaona bidhaa yako. Anaingia WhatsApp na kuuliza “Bei gani?” Unamjibu. Halafu mazungumzo yanaishia hapo.
Hili linaweza kutokea hata ukiwa na content nzuri. Bila mpangilio wa kumpeleka mtu kutoka kuona bidhaa hadi kufanya maamuzi ya kununua, kila post na kila inquiry inakuwa kazi ya kuanzia upya.
Hilo ndilo swali tunalojibu kwenye training hii.
Mfumo wa hatua 4 unaounganisha marketing na sales
Badala ya kutumia AI kuandika captions za hapa na pale, jifunze kuipa kazi kwenye kila hatua ya customer journey.
Watu sahihi wakuelewe
Elewa unamuuzia nani, anahitaji nini na kwa nini achague biashara yako.
Content yenye kazi
Panga posts za Instagram na TikTok zinazovutia na kujenga sababu ya kuulizia bidhaa zako.
Inquiries ziwe mazungumzo ya mauzo
Jifunze kujibu maswali, kushughulikia objections na kufanya follow-up WhatsApp.
Usisahau aliyeshanunua
Panga mawasiliano ya baada ya mauzo ili kujenga uhusiano na kuwapa wateja sababu ya kurudi.
Kwenye training utaona mfumo mzima ukifanya kazi.
Hii ni training iliyorekodiwa ya saa 1 na dakika 20. Inaonyesha namna ya kufikiria, kupanga na kuunganisha kazi za marketing na sales kwa kutumia ChatGPT au Claude.
Utaona jinsi ya kuanza na taarifa za biashara yako, kupanga customer journey, kuandaa content, na kuboresha mazungumzo ya mauzo WhatsApp.
Ni kwa mfanyabiashara anayeuza bidhaa au huduma kupitia Instagram, TikTok au WhatsApp, na anataka marketing yake iwe na mpangilio.
Nataka Kutazama TrainingHatua 3 tu.
Jiandikishe
Jaza fomu fupi, uingie kwenye WhatsApp group. Ni bure.
Tazama training
Link ya training iko kwenye group. Unaitazama papo hapo kwenye YouTube, na unaweza kupunguza quality kuokoa bundle.
Amua mwenyewe
Mwishoni nakuonyesha Masterclass. Ukiamua kujiunga, maelekezo ya malipo yako kwenye group.
Kwa wanaotaka kujenga mfumo mzima, hatua kwa hatua.
Training ya bure inakuonyesha mfumo. Masterclass inakufundisha kuujenga wewe mwenyewe, na inakupa mfumo tayari kuweka kwenye ChatGPT yako.
- Masterclass iliyorekodiwa ya zaidi ya saa 3: positioning, content, conversion na retention kwa kutumia AI.
- Mfumo kamili wa ku-copy na ku-paste kwenye ChatGPT au workspace yako, uanze kuutumia kwenye biashara yako.
- Unajifunza kwa muda unaokufaa.
Malipo ya mara moja.
Anza na Training ya BureMasterclass inaelezwa kikamilifu mwishoni mwa training. Maelekezo ya malipo yanatolewa kwenye WhatsApp group.
Hakuna ahadi ya idadi maalum ya wateja au mauzo. Matokeo yanategemea biashara yako na utekelezaji.
ChatGPT inaweza kuandika caption. Lakini caption pekee haiendeshi sales process.
Unaweza kupata ideas nyingi za content na bado ukawa huna jibu la swali: mtu akivutiwa na post, hatua inayofuata ni ipi?
Ndiyo maana training inafundisha jinsi ya kuunganisha positioning, content, conversion na retention. AI inakusaidia kupanga na kutekeleza kazi. Wewe bado unafanya maamuzi ya biashara na kuwasiliana na wateja.
Maswali ya kawaida
Training ni bure kweli?
Ndiyo. Training ya saa 1 na dakika 20 ni bure. Mwishoni naeleza Masterclass ya TSh 250,000 kwa wanaotaka kwenda mbali zaidi. Kuinunua si lazima.
Nitaipata training lini?
Papo hapo. Ukijiunga na WhatsApp group, link ya training iko pale. Unaitazama muda wowote unaokufaa.
Masterclass ina nini?
Masterclass iliyorekodiwa ya zaidi ya saa 3 inayofundisha positioning, content, conversion na retention kwa kutumia AI, pamoja na mfumo kamili wa ku-copy na ku-paste kwenye ChatGPT au workspace yako.
Nalipaje Masterclass?
Maelekezo ya malipo yanatolewa kwenye WhatsApp group baada ya training. Ukishalipa, unapewa access ya Masterclass na mfumo.
Je, TSh 250,000 ni malipo ya kila mwezi?
Hapana. Ni malipo ya mara moja.
Nahitaji kujua kutumia AI kabla?
Hapana. Training inaeleza jinsi ya kutumia ChatGPT au Claude kwenye marketing workflow. Uzoefu wa awali unaweza kusaidia, lakini lengo ni kukuonyesha namna ya kuanza na biashara yako.
Inafaa biashara gani?
Imelengwa biashara zinazotafuta au kuhudumia wateja kupitia Instagram, TikTok na WhatsApp, ikiwemo bidhaa na huduma.
Je, AI itaniuzia bila mimi kufanya kazi?
Hapana. AI inaweza kusaidia kupanga na kuandaa kazi za marketing na sales, lakini utekelezaji na huduma kwa wateja vinabaki kuwa jukumu la biashara yako.